Christian Anold Mosha
Joined 5 November 2022
Habari.
Kwa jina naitwa Mary,ni mhariri wa kijitolea katika mtandao wa Wikipedia ya Kiswahili,natokea Wikimedians of Arusha User Group. Napenda sana kutoa na kuisaidia jamii yangu kupata elimu itakayowasaidia katika maisha ya kidijitali.